Hii inawatesa sana akina dada

Hii inawatesa sana akina dada

Katika ufuatiliaji wangu wa mambo ya mahusiano nikagundua kuwa wengi wa akina dada (wanawake) hupata shida wanapomvutiwa na mwanaume mzuri hasa mrefu na asiyependa kuongea, hii ni kwa sababu wanaume wa aina hii ni vigumu kuonesha hisia zake kama anapenda kitu au hapendi, hivyo wadada wengi hujichanganya kwa kutowaelewa vizuri, unaweza ukakuta mwanaume wa aina hii, anakusalimia lakini si kwa namna ya uchangamfu wa nje, wadada wengi kwa kutokuwaelewa vizuri huishia kuwaona ni watu wenaojisikia kumbe sivyo, k
kama huyu hapa?
581815_375341465926381_1674740039_n.jpg
 
hiyo "k" hapo mwisho ni ile ya kizungu au ya kiswahili..
 
Katika ufuatiliaji wangu wa mambo ya mahusiano nikagundua kuwa wengi wa akina dada (wanawake) hupata shida wanapomvutiwa na mwanaume mzuri hasa mrefu na asiyependa kuongea, hii ni kwa sababu wanaume wa aina hii ni vigumu kuonesha hisia zake kama anapenda kitu au hapendi, hivyo wadada wengi hujichanganya kwa kutowaelewa vizuri, unaweza ukakuta mwanaume wa aina hii, anakusalimia lakini si kwa namna ya uchangamfu wa nje, wadada wengi kwa kutokuwaelewa vizuri huishia kuwaona ni watu wenaojisikia kumbe sivyo, k

hii ipo kiuonevu hasa kwa wakaka madomo zege afu warefu zaidi..
 
Leo nimeulizwa,"hivi ni Muhaya,mbona unaringa hivyo" ?
Kumbeeee
 
Back
Top Bottom