HII INAWAHUSU WANAWAKE TUU UMRI 30YRS--->

HII INAWAHUSU WANAWAKE TUU UMRI 30YRS--->

Wanaume wengine sijui walitanguliza miguu wakati wanazaliwa hii ni akili kweli???
 
Wazazi tujitahidini jamani, kukosa kitu cha kufanya ni adhabu kubwa. Japo najua massaging is a job like others, ila mleta mada anatafuta ganda la ndizi.
 
Mwanaume wa Dar es Salaam anataka kazi lainilaini hataki kubeba Zege na kazi nyingine ngumu ngumu.
 
Kama wanaume ndio tumefika huku basi sina la kusema kwakweli,

Hivyo sisemi
 
Mimi ni kijana (29) ni mwanaume
Napenda sana kazi ya kumfanyia mwanamke massage kama kazi. Kwa sasa nahitaji mazoezi ya mara Kwa mara hivyo ningepata hata mtu mmoja tu wa kike niwe namfanyia bure ila kila kitu ni juu yake. Hata baada ya kupata uzoefu nitaendelea kumfanyia bure. Namba yangu Hii hapa WhatsApp ndio poa zaidi +255 710439700 Thanks.
Huna akili
 
Back
Top Bottom