HII INAWAHUSU WANAWAKE TUU UMRI 30YRS--->

HII INAWAHUSU WANAWAKE TUU UMRI 30YRS--->

Kumbe ndo wewe uliyetoroka mirembe? Hebu rudi jamani madaktari wanahangaika kukutafuta huku.
 
kuna mahali wana mgonjwa wa akili anahitajika mtu wa kumtunza,huko utakanda mpk mandazi utaka.
Mgonjwa hatak anataka mwenye akili timamu tena mrembo
Jiongeze
 
Kumbe ndo wewe uliyetoroka mirembe? Hebu rudi jamani madaktari wanahangaika kukutafuta huku.
We mwanamke hulali? Hivi huko tz ni saa ngp saiv
Maana huku Denmark pako kama mchana watu tunakula vitu vyetu hapa
 
Vijana wadogo wameanza kujiuza kitandaoni, hadi huruma.
Dogo unajitafutia ukimwi mwenyewe.

Mbona wewe mdogo si utafute hata kazi? Kwa nn uangaike na watu waliokuzidi umri?

Mnaumiza wazazi sana.
 
Back
Top Bottom