kazi huna? alaaaah...chapa ilale mpaka ngoma itambae hiyooo..kama unataka hela za matumizi date na saccos, au bank...we wa wap....bhanaaaa.......
hii ilikuwa ya wadada tu lakini kitendo cha kuja kumtetea bibie kwa joyness kimenifanya nilowee humu ,hamna hiyo rekodi mkuu!
halafu lara 1 alikuwa anachungulia humu muda mrefu tu ,nahisi harufu yake humu ameshaingia kumwaga masumu yake.
Evelyn Salt umeiona hiyo kwenye bold??? hahahahahah fikiria upya...jipange....
ha ha ha ha ha ha evelyn salt katua hapa wewe ,na bili zote nalipia mimi mwenyewe Asakuta
ubahili nao ni mpana ,wewe unazungumzia ubahili gani kubwa la maadui?Ofcourse Yeah!!!!!!!! AND IM PROUD OF IT!!!!!!!!!! It shows i value more to him than the red bills in his wallet! Mi bila mtu kutoa pesa sijui anaoneshaje upendo! Ubahili ubahili wenu sijuiii!!!!!!!!!!!
alikuwa anakupigia redds kwanza...unalo hiloooooo, limekuganda mtoto wa kiume....hahahahahah
Ofcourse Yeah!!!!!!!! AND IM PROUD OF IT!!!!!!!!!! It shows i value more to him than the red bills in his wallet! Mi bila mtu kutoa pesa sijui anaoneshaje upendo! Ubahili ubahili wenu sijuiii!!!!!!!!!!!
sasa kama bill zote walipia wewe kwann uwaambie men wenzio wawe bahili?? huoni unawapotosha??? hiyo inaitwa kuchangia gharama za uchakavu babu.....
ukiangalia kuanzia mwanzo wa hii sread nilikuwa nashangai ishu za mwanaume kukimbia bili au kuhesabia hela mfukoni......vitu ambavyo mimi sikubaliani navyo ni kama ya yule mdau aliyeweka sread bibie anamwambia anunue Prado kama sehemu ya masharti ilihali jamaa analo kamkweche wake mwingine wa kuzungukia town kwenye shughuli zake.
Na wanaume wa Dizaini hii ya Ubahili Ubahili, Kutwa kucha wanawafumania wake zao.
Nipe Pesa, Nikupe Upendo.
Sio jamani Madame B, Hivi nyie wanaume mnataka kila siku mtufubaishe miili yetu tuuuuuuuuu.........
na usiombe ukutane na mwanaume aliyeyajua mapenzi ukubwani, mbona tunakomaIla hapa haki sawa kwa wote, Mimi Binafsi Mwanaume Asiye na Pesa kwangu hana nafasi,
Shem Upo!!!!!!!!
huyo baby zamani nilikuwa namlazimisha kucop my money mpaka nikawa nashangaa huyu vipi na wakati mwingine analilia kuclear bili ,ila naona nyie mnazidi kumpatia ujasiri na yeye mwenyewe amekiri hapo juu kuwa alikuwa ananikaribisha ila nashangaa huo ukaribisho ulichukua muda mrefu.hahahah umeanza kubadili mweleeko eeeh..we si ulisema tuna mwambukiza baby wako tabia za kuchopchop monie???
He he he hii ni kwa wote wapenda papuchi za bureee!!!!
ukiangalia kuanzia mwanzo wa hii sread nilikuwa nashangai ishu za mwanaume kukimbia bili au kuhesabia hela mfukoni......vitu ambavyo mimi sikubaliani navyo ni kama ya yule mdau aliyeweka sread bibie anamwambia anunue Prado kama sehemu ya masharti ilihali jamaa analo kamkweche wake mwingine wa kuzungukia town kwenye shughuli zake.
afadhali umekuja umwambie ciello kwanini zamani ulikuwa huna ujasiri wa kuchop my money mpaka nikulazimishe?
Evelyn Salt umeiona hiyo kwenye bold??? hahahahahah fikiria upya...jipange....
huyo baby zamani nilikuwa namlazimisha kucop my money mpaka nikawa nashangaa huyu vipi na wakati mwingine analilia kuclear bili ,ila naona nyie mnazidi kumpatia ujasiri na yeye mwenyewe amekiri hapo juu kuwa alikuwa ananikaribisha ila nashangaa huo ukaribisho ulichukua muda mrefu.
Madam na Ciello nyie wakubwa wenzangu hawa watoto wanaoingia leo fani hii ya mapenzi wanajua nini?????? Kazi kusikilizia raha ya mkuna na mkunwaji!!!!!!!
Wakikua ndo watajua kuwa wanaume hawa hawana jemaaa!!!!! Acha wahonge wapate training!!!!!!
Mimi na utuuzima huu, ujuzi wangu wote huu (Expatriate), uzuri wangu wote huu, The way im keeping my self expensive, alafu jitu lije linifuje fuje!!!!!!!1 Thubutuuuuuuuu!
Mimi bwana my brand of man ni mtu anaenivutia/nampenda ambae he can give me goodtime and the goodies i deserve!!!!! In return i become the woman of his dreams!!!!!!! H e takes care of me, i take care of him!!!!! Full kuenjoy!!!!
Haya mapenz yenu ya kitoto nimepitia bt it never worked out for me! Ni stress tupu! Mara nikopeshe, mara punguza matumizi, mara sijui nini! Mara kodi hamna! Nishapita huko siku nyingi!!!!!!!!
Wakikua wataelewa true love inaexist in movies!!!!!!!! Mpango ni kujiangalia mwenyewe!!!!
afadhali umekuja umwambie ciello kwanini zamani ulikuwa huna ujasiri wa kuchop my money mpaka nikulazimishe?
kwani point si ni usafiri tu wa kukuweka mjini usipigwe na jua wala vumbi ,then unaupgrade kulingana na hali inavyokuruhusu.we mwenyewe wakaita kamkweche afu eti mtoto mzuri adandie nani kasema!!!!
anunue prado tu...
Nilikuwa nakupokea vema ili nikupeleke king.....
ningekuomba siku hiyo hiyo leo nisingekaa na ATM card yako mpnz!!!