hii inawahusu wadada!

he he he he I LOVE YOU!!!!!

ha ha ha ha ha ha! naona unanipooza ili baadae uniombe ATM card yangu.
halafu mpenzi wewe zamani mbona ilikuwa nikikupa hela unakataa ,nikilipia bili sehemu moja sehemu nyingine unamuwahi waitor huko huko counter kuclear sasa hizi tabia za kina Lara 1 na Ciello umezito wapi siku hizi za kutaka nikupe mpaka mamlaka ya kusign na kuclear check zangu?
by tha way nakupenda pia.
 
hahahahah mtani bana, mbona jigga anamnunulia zawadi beyonce?? kwani biyo si independent woman?? ama jigga kamzaa biyo??

hahahah mtani nawachemsha tu hapa, binafsi hupenda sana kumtunza my gal...mimi ndio baba yake wa pili baada ya babaye mzazi...lazima kula bata mpaka kuku waone wivu...
 

Karibu mtejaaaaaaa!!!!!!!!!!!
 
sasa na ulizitafuta za nini? Tumia hela ikuzoee kaka!

Hahah best mie ni mtumbuaji mzuri sana wa pesa...hapa nilikua nawachemsha tu...ya nini kujibana wakati makaratasi tu haya....waiter hebu ongeza ndyofu kwa King'asti!
 
hapo umenena mtani....salute !!!!
hahahah mtani nawachemsha tu hapa, binafsi hupenda sana kumtunza my gal...mimi ndio baba yake wa pili baada ya babaye mzazi...lazima kula bata mpaka kuku waone wivu...
 
mie naona wewe ni mwanamke wa ukweli...i like
u already.....ungeogezea pia muwe mna initiate mchezo wa kugegedana
thanx!of coz ur right sio mtu anasubiri mpaka aombwe wakati znamsumbua eti anapotezea!
 
Hahah best mie ni mtumbuaji mzuri sana wa pesa...hapa nilikua nawachemsha tu...ya nini kujibana wakati makaratari tu haya....waiter hebu ongeza ndyofu kwa King'asti!
tena bel monte kunafaa bahili kama wewe. Manake.ni cash mbele all the time. Kuna mijitu bill ikija inaenda toilet! Mppphhhhhh!
 
we usituchafulie majina tutakusue(refer kwenye bold)...kama watongoza...tongoza salama
 

shost sawa tutafanya bt it daznt min fiftyfifty, they shud be one step ahead
 
Naona Lara 1 na BADILI TABIA wameanza ngoja akisa suprise,nivea,evelyn salt & co waje hapa

habari ndo hiyo , mfanye tena bila kulalamika, ndo wajibu wenu
 
alokwambia tuna tabia hiyo nani??...usifanye assumptions kijana.....we tupa nyavu zako taratibu, usichafue watu....
tabia za chop my money ideation nawachafulia jina tena?
mbona hatongozwi mtu hapa.
 

makubwa, heri ya mwaka mpya
 
alokwambia tuna tabia hiyo nani??...usifanye assumptions kijana.....we tupa nyavu zako taratibu, usichafue watu....

kutokana na michango yenu humu MMU,,,, vipi mbona kama umebadilika sana?
 
hahahahahah kumbe wafatilia michango yetu eeeh?? Evelyn Salt anajua hilo ??? nimebadilika nn?? mie naona niko sawa.....
kutokana na michango yenu humu MMU,,,, vipi mbona kama umebadilika sana?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…