Hii inawahusu wadada tu

Huo ni mtazamo wako umetoa yaliyo ujaza moyo wako, pole kwa kukata tamaa waache wenye matumiani waendelee kutumaini, Mungu ni mwema.........Kwa kuwa Mungu hatamtesa mtu hata milele ajapo mhuzunisha atamfurahisha kwa kadri ya wingi wa rehema zake"
 
mtoa mada leo hujaenda shule....ndio tatizo la sikukuu watu wanakosa kazi za kufanya wanaleta pumba tuu
 
Huo ni mtazamo wako umetoa yaliyo ujaza moyo wako, pole kwa kukata tamaa waache wenye matumiani waendelee kutumaini, Mungu ni mwema.........Kwa kuwa Mungu hatamtesa mtu hata milele ajapo mhuzunisha atamfurahisha kwa kadri ya wingi wa rehema zake"

Ameen mkuu....
 
Heee! inamaana hizi ndoa sio dili kabisa siku hizi, baada ya kudai serikali tatu sasa mziki umeamia kwenyewe ndoa

Hapo tutaunda umoja wa wasiotaka ndoa= UWANDO
 
Kwa sababu JF si wote walisoma Hesabu Bodmas kwa kiswahili ni (Mabano), d-Gawanya,m-Zidisha,-a Jumlisha na mwisho Toa. Kwa kifupi MAGAZIJUTO
Mfano; (5*3)+45/3-80+5*6-10. Naombeni jibu tafadhali huu mwisho wa mwezi nina hamu ya kutoa zawadi kwa mwanaJF yeyote atakaye jibu vizuri.
 
...ningekuwa na uwezo ningewashauri watu wasioe wala kuolewa..
..hizi recipes zinafanya ndoa ionekane kama mashindano ya 'champions league'...
..ukiweza ingia...ukichoka sepa...
 
jaman eeee usinivuruge wewe mleta uzi
 
mtoa mada nadhani ana hoja ya msingi sema watu wanamkaripia bure tu, kwa kifupi ndoa haitaki ufuate mkumbo na ndo kinachoponza wengi oa au olewa kwa mapenzi na utashi wako usioe au kuolewa kwa sababu alizozitaja mtoa mada
 
Mtoa mada nahisi atakua na ule ugonjwa wa singonism!alafu na stress zmeshaanza kumjaa!poor u,,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…