Kavaa kiheshima kabisa huyo ulitaka awaachie mapaja nje ndio muone kavaa?
Najua unatetea kwa vile yuko na binamu yako jk! Si unamjua jamaa anavyopenda kuchungulia?
Kavaa kiheshima kabisa huyo ulitaka awaachie mapaja nje ndio muone kavaa?
Bibie huoni Mke wa Tony alivyovaa?hebu siku jaribu kualikwa sehemu hiyo na uvae hivyo uone hata kama utanusa geti la hilo kasri!
Mbona kavaa ki heshima tu, au hizo rangi za hiyo nguo ndio zimekushtuwa?
jk ameigeuza ikulu kuwa 'PANGO LA WALANGUZI' mtu anaenda na kivazi chake kama anaingia casino...Tumezoea kwenye Mialiko au dhifa fulani wageni kuambiwa muwe mme vaa vazi fulani sasa Mgeni aliekuja na vazi la namna hii ni sahihi kweli tena Ikulu!
View attachment 103930
Ukilinganisha na uchafu unaofanywa hapo ikulu na kikwete ni dhahiri vazi hili ni la heshima kabisa.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Nimekumiss wewe!!!Mbona kavaa ki heshima tu, au hizo rangi za hiyo nguo ndio zimekushtuwa?
Vipi pale Mbowe? na vipi pale Keys? yanayofanyika ni masafi? na vipi Mzee wa Kanisa anayofanya ni masafi?
punguza jazba mkuu, usiharibu swaumu yako kwasababu ya mahaba yako na ccm.
[/SIZE]
Swaum iharibike kwa kuuliza ukweli? Unanchekesha!