Hii inaruhusiwa?

Hii inaruhusiwa?

Unajua utaratibu wa kuwazuia wenyeji wakiwa na nguo kama hizo ungekuwa unatangazwa mpaka kwenye vyombo vya nje labda nao wangeziheshimu IKULU zetu tatizo sisi tunaangalia mpaka habari ya mtu kujisaidia kwenye train (BBC,CNN na tv zinginezo) lakini wao hawajui tori yoyote hata kama kuna ajali imeua watu wawili Kilwa Road.....

Sasa watajuaje kama hizo nguo haziruhusiwi pale....na pia balozi zetu hazifanyi kazi inayotakiwa ya kuendeleza utamaduni wetu at least wangekuwa wanawapa ushauri jamani kule kwetu mavazi sawa lakini pale Ikulu tuvae hivi
 
Tatizo ni CCM tu, Watanzania tukiweza kuliondoa tatizo hili tutapiga hatua kwa haraka mno

Huyo Mama ukimuangalia usioni tuu unaona kuwa ni Retard...Sishangai alichovaa during this "State Visit"
 
Back
Top Bottom