Hii inapendeza sana kwa wapenzi

Yes mkuu kabisa umezungumza right.
 
Kwakweli si mchezo.
 
Struggle inayotakiwa iwepo ni na changamoto zenu not with each other.
Umenikumbusha kuna shangazi yangu alikuwa kila pale anko anamkosea shangazi ana struggle anaenda hadi kwa wazee wao wana ya suluhisha.
Ila kuna siku naye akakosea cha kushangaza yeye ndio akanyanyua mabegi, ikabid anko naye akashitaki kwa wazee.
Sasa wale wazee waka muuliza anti kwa hiyo wewe ukikosewa wewe tu ndio inakuuma eeh!?
Haya omba msahama hapa acha ujinga. [emoji23]
Ila mi nikapenda tu ile attitude ya anko na anti kuhangaikiana, mpaka leo wanadunda 20 yers kwenyw ndoa.
 
Mmmmh!! Ila hiyo ya kwenda kushtakiana nayo mmmh!!!
 
Lakini->bali
Hukuuliza->hukuomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…