Hii inapendeza sana kwa wapenzi

Kupendana inawezekana Lakini mpaka mtu ajitolee na aisahau nafsi yake kwanza kote kwa mwanamke na mwanaume
 
Ha ha mkuu katika watu wanaongoza kucopy vitu vya ajabu ajabu ni wanawake. Anza makalio ya kichina, matiti ya kichina, plastic surgery. Ndo maana tunawaona miiba maana wenzetu mmekuwa sio wa dunia hii
 
Kula heko mkuu[emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Haha dah aise,,hivi ukampenda mwanaume wako katika hali zote na yeye anajituma ataacha kukuhudumia kwa uwezo wake?? Tatizo wanawake wengi wa sikuhizi wanataka mambo makubwa kushinda uwezo wao mambo hua yanaenda taratibu, raha iliyoje mnakula matunda ya uvumilivu wenu na mlipotokea chini had mkawa na vingi sasa...lakin yote hayo kama hamna Mungu katikati yenu ni kaz bure ...kuna thread moja humu mwanamke anaomba ushauri amsaidie vipi mumewe aongeze kipato chake kutoka biashara anayofanya...ni wanawake wangapi wana moyo huo??
 
Ha ha mkuu katika watu wanaongoza kucopy vitu vya ajabu ajabu ni wanawake. Anza nakalii ya kichina, matiti ya kichina, plastic surgery. Ndo maana tunawaona miiba maana wenzetu mmekuwa sio wa dunia hii
Si ndio mtumie hivyo vichwa sasa kupingana na hayo, funy enough pesa zenu ndio zinafanya yote hayo kwa kiasi kikubwa!! Sasa kama mmeshindwa kusimama kama wanaume mnategemea wanawake wafanye nini?
 
Shida ni pale anajua kipato chako na anadai kitu ambayo iko beyound your limit. Ukisema huna pesa utasikia hunijali. Yaani wao kujaliwa ni kupewa dunia nzima pengine wataridhika
 
Ah wap. Kunawatu "wanaume" wanajielewa na likini wanaishia kwa majike dume
Ukiona hivyo basi ujue na mwanamke anaejielewa nae kaishia kwa dume jike, hivyo mtafute mbadilishane.
 
Kwakwel mtabaki mnakazania point ya upotential lakin ukwel unabak pale pale kwamba love ili wa bind them pamoja ...achilia mbali elimu zao ...kwaio unataka kuniambia barack aliangalia elimu ya michelle ama michelle aliangalia elimu ya barack...hivi mmesikiliza vizuri alichoongea juzi katika hotuba yake ya kuwaaga wamerakani? Wakat anaongea na michelle?,,mlimsikiliza aliongea nini?
sawa mtajiandaa ujanani lakin kama hamna upendo wa dhati katikati yenu ni kaz bure tu.
 
T


True, amuwezi kufikia level za kina Obama Kama ni mmoja tuh anayepigania ilo penzi, lazima achoke ata awe na upendo wa aina gani,
Simama kama mwanaume wa kweli ili upate nawe kulia kama Obama,...
Nitasimama kama mwanaume lakin with the right woman pembeni yangu na bahat nzur Mungu anajua wanapopatikana na ukimuomba atakuonyesha.
 
Damn you!! Karibia wanawake wooote walioolewa wanafanya kama huyo aloomba ushauri ni vile tu nyie malaika hamthamini kinachofanywa na wake zenu mnajiona miungu watu.

Hao wanawake wengi wa siku hizi unaowalalamikia yaani wako copyright na wanaume wa siku hizi, au unadhani nyie bado mko50's??

Wanacheza mziki mlioupiga wenyewe alafu mnalaumu seriously!! Zimeni mziki muone kama wataendelea kucheza.
 
Shida ni pale anajua kipato chako na anadai kitu ambayo iko beyound your limit. Ukisema huna pesa utasikia hunijali. Yaani wao kujaliwa ni kupewa dunia nzima pengine wataridhika
Nawe kwanini ukubali kiwe nje ya uwezo wako?? Huyo ni chaguo lakooooo......
Huyo ndio Michelle wakoo.......
[emoji443] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji350]
 
Pengine hakuna wanaume wakamilifu lakini wanaume bora ambae anaweza kusimama mbele ya macho ya watu na kusema wewe ni bora kwake, wapo na Mungu anajua wallipo ni kumuomba akuonyeshe
 
Nimeshaona hapa kuna mgongano kila upande unajiona malaika.
Nseme tu kua kama hamna upendo wa dhati wa kuvumiliana kwa mapungufu mliyonayo na kusaidiana kwa kila hali huku mkimtegemea Mungu na kuwa watu wa kuomba nyinyi wawili bas nseme hakuna litakaloendelea kati yenu
 
Bas achague wa saizi yake ambae atasumbuana nae wala hatulazmishani kila mmoja aende kwa ambae anaona anamfaaa ...
 
Umemaliza vyema, msitegemee mtuponde alafu tuwaangalie tu.
Wanaume kama Obama wapo na wanawake kama Michelle wapo pia,kwahiyo akili kumkichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…