Hii inanishangaza. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii inanishangaza.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tiger, Sep 14, 2012.

 1. T

  Tiger JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Jamani kwa namna moja au nyingine nilijikuta na fanya utafiti usio rasmi.
  Nimeuliza wanawake kama 7(ninao waami kiasi chake) kujua kama wao huwa wanaota ndoto za kufanya mapenzi?
  Jibu nililopata linanishangaza kidogo.
  Mmoja kaniambia mara ya mwisho kuota alikuwa std 6, wapili akaniambia amewaha mara mbili tu tena ukubwani na watano waliobaki wameniambia hawajawahi.
  Nikasema ngoja niulize waungwana wa jf wanasemaje kwakuwa mi nilidhani hili swala ni sawa kwa jinsia zote maana kwa wanaume hizi ndoto ni za kawaida sana ila kwa sasa sijui ukweli ni upi.
  Naomba wanaopenda kuchangia swala hili waje.
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Yaani sikumbuki mara ya mwisho ni lini, ofcourse namuota mupenzi ocassionaly lkn si sex.
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Ubongo wetu wanaume si unajua 98% ya siku tunawaza faragha tuuu hahahahhaah
   
 4. T

  Tiger JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ha ha haaa! Haya bana.
   
 5. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mmmmmmmh!naota tu!
   
 6. N

  Neylu JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mi kwa kweli sijawahi kuota nafanya mapenzi...
   
 7. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nikimiss siku mbili tatu naanza kuota...nikipata ah mpaka nasau kama huwa naota,
   
 8. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mi nikiwa naukame naota, ukishtuka umelowa ni kuamka na kubadili viwalo na hasira juu!!!!!!
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kwani we mwanamke?
   
 10. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  kama unafanywa kila wakati kwa nini uote?
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  dahhhh mi huwa na fantasize sana ila kuota dahhhh mara chache sana.
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  why fantasize sana?
  not having enough?
   
 13. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #13
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 997
  Trophy Points: 280
  Mi kwenye ndoto huwa nawakosasa sana,..
   
 14. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #14
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Me hizo ndoto ni kawaida kwangu kwa mwezi hata mara 7 ila sitaki kujipa headache eti nna jini mahaba...ila nahisi naota kwa vile hayo mambo nayapenda

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 15. T

  Tiger JF-Expert Member

  #15
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mkuu The Boss nimeona unapitia utafiti wa kijana wako ila naomba uje kuweka neno lako hapa.
  Keeping in mind kwamba baadhi ya watu(female) wamesema hawajawahi kuota na wenginine wamesema wameota mara chache but you know the situation kwa wanaume, so what can you make out of it.
  Plz.
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  I have plenty lol..
  na fantasize ntamfanyia nini akirudi nyumbani lol ..
   
 17. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #17
  Sep 15, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  nilikuwa naota wakati nabalehe, yan nikiamka na nshajimwagia, lakini tangu niwajue hawa viumbe, hakuna ndoto tena
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Sep 15, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kwa lugha nyingine muotaji anasumbuliwa na ukame?
   
 19. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #19
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Ooh really?!
   
 20. T

  Tiger JF-Expert Member

  #20
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Yule aliyeniambia ameota mara ya mwisho std 6 alinijibu kama wewe.
   
Loading...