Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 76,796
- 162,023
Enzi za vibama Mbeya. Tshs 5 nilikuwa napata kimoja teh teh
Ushakia kitu inaitwa Kibama au Vibama.
Ukotoka kwenye vibama, unaenda kwenye vitindi na masasati, na baada ya hapo unaenda kwenye mabumunda.Enzi za vibama Mbeya. Tshs 5 nilikuwa napata kimoja teh teh
Ushakia kitu inaitwa Kibama au Vibama.
Ukotoka kwenye vibama, unaenda kwenye vitindi na masasati, na baada ya hapo unaenda kwenye mabumunda.