Hii inakukumbusha nini?

Hii inakukumbusha nini?

Bagia mkuu....duuu those dayz bana, we acha tu, ukiwa nayo hiyo skonga mihogo inakukoma, enzi za kuweka uketo (bisi) kwenye chupa na kuyaloweka....nakumbuka zamani sana...enzi za chachacha na kodrai...suruali zilikuwa zimeandikwa tokyo....duuuu na masharti yana picha ya dola kwenye mifuko...kitu special hicho...sikukuu haipiti bila DH na Romario then maradona....DO YOU REMEMBER?

Umenikumbusha mbali sana mkuu, enzi hizo shule ya msingi pale iringa, mambo ya vibama, bagia, mitoho, migola na matunda mwitu kibao. Good days are gone for good.
 
Bagia mkuu....duuu those dayz bana, we acha tu, ukiwa nayo hiyo skonga mihogo inakukoma, enzi za kuweka uketo (bisi) kwenye chupa na kuyaloweka....nakumbuka zamani sana...enzi za chachacha na kodrai...suruali zilikuwa zimeandikwa tokyo....duuuu na masharti yana picha ya dola kwenye mifuko...kitu special hicho...sikukuu haipiti bila DH na Romario then maradona....DO YOU REMEMBER?

Umenikumbusha mbali sana mkuu, enzi hizo shule ya msingi pale iringa, mambo ya vibama, bagia, mitoho, migola na matunda mwitu kibao. DH tulikuwa tunasema Dingi Hajiwezi. Good days are gone for good.
 
Yaani, nilikuwa naizungushia lile ganda la sigara la kama aluminium vile halafu naisugua kichwani, hizo picha zote zinatokea kwenye hilo ganda, halafu narudia na upande wa pili, na mwisho naibandika kwenye kiubao kilichokatwa kama shilingi tano... baada ya hapo ni kuwadanganya watoto wenzangu kuwa nina shilingi tano..

Umenikumbusha mbaaali!!
 
naona wengi wanaochangia hapa ni wale waliozaliwa miaka ya vita ya kagera! maana nakumbuka kwa enzi zetu, hii hela nilikuwa napata sukari kilo moja!
 
mkuu umenikumbusha mbali saana! ibarikiwe jf hakika tunakumbuka mengi saaana
 
Pesa ilipokuwa na thamani maana hiyo GWALA sokoni ulikuwa unaweza kununulia walau nyanya na chenji yako ya pipi kifua unabakiza....
 
naona wengi wanaochangia hapa ni wale waliozaliwa miaka ya vita ya kagera! maana nakumbuka kwa enzi zetu, hii hela nilikuwa napata sukari kilo moja!
Wengi niwa 1970 to 1975... Mi wakati wa vita vya Kagera ndo nilikuwa mchimba mahandaki ya familia yetu pale home.......
 
999577_614584258562181_1131377152_n.jpg

Linaitwa dala...
 
amini usiamini JF ya leo kuna baadhi ya members walizaliwa wakati sh elfu kumi ya zambarau isha acha kutumika
 
Duuuu enzi hizo mabasi ya semi aka ikarus
 
189-f.jpg

Na hii je? Siku hizi shilingi 500 si kitu, lakini noti ya shilingi 500 ilipotoka mara ya kwanza mwaka 1989 (katika rangi hizi) ilikuwa na thamani kubwa. Wakati huo nauli ya daladala ilikuwa shilingi 15 kwa hiyo ukiwa na shilingi 500 ulikuwa unaweza kuzunguka mji mzima na daladala na usiimalize. Nakumbuka noti ya shilingi 500 ilipotoka ilipewa jina 'Pajero'.
 
Enzi hizo you could paint the town red with one of these.

TanzaniaP4-100Shillings-(1966)-donatedth_f.jpg
 
Back
Top Bottom