Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
Jamani, wabongo bado tuna maumivu na mgao wa umeme, matumizi mabaya ya serikali yetu....lakini hapa naibu waziri viwanda na biashara anaendelea na mazungumzo na wageni wake huku TV nayo ikiwa busy.
Wengine wanaweza kusema nina wivu but come on....hakuna mtu anayesikiliza wala kuangalia TV, sasa kuna umuhimu gani wa hiyo TV kuwa ON? Jamani hii inakubalika?
Picha zajieleza......
Wengine wanaweza kusema nina wivu but come on....hakuna mtu anayesikiliza wala kuangalia TV, sasa kuna umuhimu gani wa hiyo TV kuwa ON? Jamani hii inakubalika?
Picha zajieleza......