Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,362
Mie sikaagi kwa sababu ni aibu aisee.Nawe jitahidi usikae Sana hapo,hawaongeagi kuwa wamekuchoka huumia ndani Kwa ndani.Jaman,watu wakioana waacheni nao watengeneze familia Yao,siyo kuwaanzishia kulea familia ndugu😠
🤣Watu wagumu balaa,wanaomba na matumizi kabisaMie sikaagi kwa sababu ni aibu aisee.
Narudigi home tu .
Ila siwezi hata kukaa 2 weeks nakuwaga sina amani.
Wajaluo wamezidi khaaa!Samahani natania tu! Wasambaa,Wajaluo,Wagogo mpoo?
Hii niliwahi kuiona kisongo Arusha,Jamaa na mkewe wote walikuwa wanafanya kazi A to Z kiwandani wamepanga chumba na sebure
Siku moja wakapata ugeni kutoka singida ndugu zake na mke wa jamaa walikuwa watatu(mama mkwe na vijana wawili wa kiume wadogo zake na mke wa jamaa),walikuja kwa ajili ya kuuza mafuta ya alizeti lakini hata mafuta yalipoisha hawakuondoka wakawa wakaaji,mama mkwe analala sebuleni wale vijana jamaa kawaombea kwa mpangaji mwenzie,nakwambia ilikuwa ni fujo hiyo ndoa ilikosa amani kabisa,asubuhi wanaomba matumizi utazani jamaa aliwaita waje Arusha,jamaa alikoma
Unakaa kwa ndugu ndio maana unahasira polee mwayakama wahusika hawajaona tatizo we inakukera nino,fata yako kwanza hueleweki ni mwanamme au mwanamke
Dar 🤣😂😂 ndio dar kwenyewe huko nasio hao tu angalia tangazo pia la tigoNdio zenu watu wa dar kwa uchoyo,bdilikeni kuishi na watu ni baraka pia.
Wanayaturu hao,hatari sana.Nina ya kuongea kuhusu hao ila wacha nikae kimyaHii niliwahi kuiona kisongo Arusha,Jamaa na mkewe wote walikuwa wanafanya kazi A to Z kiwandani wamepanga chumba na sebure