Hii inaitwa Mwana Ukome

Ngumu kumeza hii. Kwenye dunia hii ya utandawazi, kujitokeza hadharani na kuvilalamikia vyombo vya habari vya nje kwenye taarifa zenye ukweli wa πŸ’―%, nadhani ni upopoma wa kiwango cha juu sana.
 
Ngumu kumeza hii. Kwenye dunia hii ya utandawazi, kujitokeza hadharani na kubilalamikia vyombo vya habari vya nje kwenye taarifa zenye ukweli wa πŸ’―%, nadhani ni upopoma wa kiwango cha juu sana.
Huyo dogo nadhani anajuta kuweka comment ya kifala πŸ˜ƒ
 
Bado nawqza huyo mwamba aliyetoa jibu kwa kuuliza swali, ilikuaje akawafikiria awe na hiyo ID...
 
Utapokelewa namna unavyokuja πŸ˜ƒ πŸ˜€ πŸ˜„ 😁 ***** πŸ˜ƒ πŸ˜€ πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…