Hii inahusu watu wa MALAVIDAVI tu..!!

mmh! Walikuwa hawana kazi za kufanya naona.

nawashukuru wasichana wananipigia lakini wavulana wanabeep tu.nikipiga nikasikia libass "naongea na figganigga?"najua ni walewale,nakata simu.sijui wanatest namba!.
 
Code:
samahani.usininyan'ganye mke wangu kwani nampenda sana [COLOR=red]hata yeye anaju[/COLOR]a.

Are you a pimp?..........unajuaje kama mkeo anakupenda kweli...................dhana zako si lazima ziwe zake....................
 
mambo ya kuhangaika kutafuta mabibi/mabwana wa kizungu sasa yamepatiwa dawa.so usihangaike.
piga hii namba na wewe upate wa kwako hii ni offer.
ninadeal na wanao taka wazungu tu!
0654798434

kuwadi
hariri ] Kiswahili [ hariri ] Nomino kuwadi ( wingi makuwadi ) mtu anayetongozea mtu mwingine msichana [ hariri ] Tafsiri Kiingereza: pimp (en) Jamii : Maneno ya Kiswahili
wiktionary.org |

...ama mmefanikiwa jamiiforums kuigeuza uwanja wa vituko. Mpaka Ukuwadi hadharani namna hii?
Mtu mzima na akili zako timamu uliyelelewa kibantu, unajitangaza hadharani eti unawakuwadia wazungu?
Ni ujinga uliokithiri, pia ni Aibu kubwa kwa wote wanaotusoma.

Am sorry, kuwadi hana tofauti na 'Joka la mchungwani!'
Akikosekana wa kumuuza si ajabu akajiuza mwenyewe.

 
  • Thanks
Reactions: mja
Nadhan amna kitu kama hicho ww dalali wa wazungu?

kwanini uandikie mate wakati wino upo?namba si unaiona?nipigie uhakikishe.kwani wazungu kitu gani bwana?hakuna mjanja wa mapenzi.
 
Mmmhhh
nataka mzungu wa kike
awe amezaliwa Africa na
awe na damu ya ki Africa..
piga hii number 0800 988989
 
mambo ya kuhangaika kutafuta mabibi/mabwana wa kizungu sasa yamepatiwa dawa.so usihangaike.
piga hii namba na wewe upate wa kwako hii ni offer.
ninadeal na wanao taka wazungu tu!
0654798434

umekosa kazi...!!!????? kuna JF Kilimo, angalau nenda huko ukajifunza....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom