Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Hivi huu mfumo wa kutoa mahari hivi kwa miaka ya sasa hivi una mantiki kweli???kama watu mmependana kweli ya nini umtoze mwenzio mahari,tuachane na mapokeo kutoka kwa wazazi wetu vp unaona kuna haja ya kuubadili maana inakuwa kama kabiashara fulani hivi hebu toeni maoni yenu tukiachana na mapokeo