Malizia stori mkuuNimeshuka kwenye daladala pale masaki daladala zinapogeukia nikajisemea ngoja niende huku mbele nadhani beach haipo mbali nikapoteze muda jioni niende kwenye mambo yangu
Nimetembeaaa mbele kidogo nikaona wajomba wa kofia nyekunde kama wawili hivi na mmoja kavaa kisela wako na mashine kila mtu
Barabara imetulia haina mtu ni mimi tu nikawa na wasiwasi nikajisemea hapa nikirudi nitakuwa nimeharibu ngoja niendelee kwenda
Wakati huo napita upande mwingine tofauti na upande ule waliokuwa mapalianda
Nikawavalia sijawapa hi wala nini
Na wao wanaendelea na stori tu hawana habari na Mimi wala nini
Nimetembea kama mita 20 ile Barabara ina kama kijikona hivi
Naanza kuona mjiwe umeandikwa jw ngapi ngapi sijui naona geti nikachoka nikajua nishayavagaa nikaanza kurudi nawawaza wale wazee wa kazi pale itakuwaje
Nilivyokaribia kuwafikia, wamekatisha stories zao naskia hey
Vua kofia toa kila kitu weka chini geuka ulikotoka mikono juu
Naona uvivu kuandikaMalizia stori mkuu
Pole kwa yaliyokukuta mkuuNaona uvivu kuandika
Naamini walikusaidia kukupotezea muda kama uliyokuwa ukihitaj mkuu.Nimeshuka kwenye daladala pale masaki daladala zinapogeukia nikajisemea ngoja niende huku mbele nadhani beach haipo mbali nikapoteze muda jioni niende kwenye mambo yangu
Nimetembeaaa mbele kidogo nikaona wajomba wa kofia nyekunde kama wawili hivi na mmoja kavaa kisela wako na mashine kila mtu
Barabara imetulia haina mtu ni mimi tu nikawa na wasiwasi nikajisemea hapa nikirudi nitakuwa nimeharibu ngoja niendelee kwenda
Wakati huo napita upande mwingine tofauti na upande ule waliokuwa mapalianda
Nikawavalia sijawapa hi wala nini
Na wao wanaendelea na stori tu hawana habari na Mimi wala nini
Nimetembea kama mita 20 ile Barabara ina kama kijikona hivi
Naanza kuona mjiwe umeandikwa jw ngapi ngapi sijui naona geti nikachoka nikajua nishayavagaa nikaanza kurudi nawawaza wale wazee wa kazi pale itakuwaje
Nilivyokaribia kuwafikia, wamekatisha stories zao naskia hey
Vua kofia toa kila kitu weka chini geuka ulikotoka mikono juu
Hahahahaa Mimi nilirudi nikawaambia walinzi "samahani leo kuna tatizo nini? Wakanijibu tumia hiyo nyingine, nikawashukuru pia nikawaomba samahani kwa kupita bila kusalimiaHaa ha ha.. Ilinikuta Bank kwenye ATM bhana nimefika nikapitiliza kutoa pesa direct bila kumsalimia yule Mlinzi wa pale sasa nikatoa nashangaa pesa hazitoki kumbe ile mashine inazingua...nikaenda nyingne nayo hivyo hivyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa akasema muwe mnasalimia mkifika hapa sisi sio magogo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora wewe ulijibiwa bila Kupewa z a usoo... Me nilichambwa kwanza balaaHahahahaa Mimi nilirudi nikawaambia walinzi "samahani leo kuna tatizo nini? Wakanijibu tumia hiyo nyingine, nikawashukuru pia nikawaomba samahani kwa kupita bila kusalimia
Mkuu mara nyingi kubali kosa, tanguliza samahani kwa muungwana atakuelewa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora wewe ulijibiwa bila Kupewa z a usoo... Me nilichambwa kwanza balaa
[emoji23][emoji23][emoji23]watanzania wana gubu..utasemwa kwanza ndo uelekezwe
na baada ya kuelekezwa utasemwa tena hahahah[emoji23][emoji23][emoji23]watanzania wana gubu..utasemwa kwanza ndo uelekezwe
unakuta sometime una shida na hiyo direction vibaya mnoHapa hamna namna. Nitapotea tu kiroho safi.
Ukianza kuondoka unachambwa tena😀na baada ya kuelekezwa utasemwa tena hahahah
Huja malizia.afu hela ndo ikatoka!!Haa ha ha.. Ilinikuta Bank kwenye ATM bhana nimefika nikapitiliza kutoa pesa direct bila kumsalimia yule Mlinzi wa pale sasa nikatoa nashangaa pesa hazitoki kumbe ile mashine inazingua...nikaenda nyingne nayo hivyo hivyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa akasema muwe mnasalimia mkifika hapa sisi sio magogo..
Hazikutoka mkuu ndo wakanionyesha ATM mashine inayotoa pesaa... Nkaenda kutoaHuja malizia.afu hela ndo ikatoka!!