Yani acha tu mkuu...[emoji23][emoji23][emoji23] Sasa sijui kila anaeenda pale akimsalimia si atachoka sanaa hasa mwisho wa mwezii[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23] na wewe ulizidi, unampita mtu aliyekaa hapohapo
Aisee nadhaniLabda sababu huwa tunaamka bila kuwa na mipango ya siku Tupo Tupo tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hadi leo nikifika ATM mashine lazima nimsalimie yule mlinzi aisee . [emoji23][emoji23]
hapo utaona aibu balaaaHaa ha ha.. Ilinikuta Bank kwenye ATM bhana nimefika nikapitiliza kutoa pesa direct bila kumsalimia yule Mlinzi wa pale sasa nikatoa nashangaa pesa hazitoki kumbe ile mashine inazingua...nikaenda nyingne nayo hivyo hivyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa akasema muwe mnasalimia mkifika hapa sisi sio magogo..
hahaha lazima tu urudi, muda mwingine unajistukia, na usiombe pawe ni uswahilini,wale wanawake wa kule wanachamba vibya mnoImeshanikuta mara kadhaa, nilirudi nilikotoka bila kusalimia wala kuuliza njia.
Haa ha ha.. Ilinikuta Bank kwenye ATM bhana nimefika nikapitiliza kutoa pesa direct bila kumsalimia yule Mlinzi wa pale sasa nikatoa nashangaa pesa hazitoki kumbe ile mashine inazingua...nikaenda nyingne nayo hivyo hivyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa akasema muwe mnasalimia mkifika hapa sisi sio magogo..
Upweke umetuzidi so tusiposalimiwa tuna feel worse.Sijui kwa nini
[emoji16][emoji16][emoji16] kwa kweli, mimi hakuna kitu kinanitia uvivu kama kubakia mnasalimianaUpweke umetuzidi so tusiposalimiwa tuna feel worse.
Noma sana yani[emoji23][emoji23][emoji23]hapo utaona aibu balaaa
Yani bila kupenda dadekii...!! kasoro yule anaebebaga bunduki ndo huwa nampita tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Salam ya lazima
Uswahilini usiposalimia utanuniwa mwaka mzima.[emoji16][emoji16][emoji16] kwa kweli, mimi hakuna kitu kinanitia uvivu kama kubakia mnasalimiana
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaminakuelekeza kiroho safi ila ntakupoteza tu,,
kama utaki salamu si utumie gps acha kuniuliza maswali,,
kweli mkuu, kusalimia watu sana ina faida, utapata na marafiki wa kweli, pia ina hasara utaonekana unajipendekezaMimi kusalimiana napenda sana hivyo hayajanikuta hata siku moja badala yake nimepata marafiki wengi hata wewe ukija utakuwa rafiki yangu
Salamu peke yake haiwezi kumfanya mtu awe rafiki yako.Mimi kusalimiana napenda sana hivyo hayajanikuta hata siku moja badala yake nimepata marafiki wengi hata wewe ukija utakuwa rafiki yangu