Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,057
na usiombe awe mtu mzima sana , utamkoma😀Wanakuwaga na visirani kinoma....... !!! Ishanikuta afu sikufanya maksudi ila reaction yao ilinishangaza sana!
hahaha bongo yetu salamu ni kitu muhimu sana,Ilinitokea hivo nikarudi nikawasalimia na kuwauliza njia wakaanza ooh umepita bila kusalimia baada ya kupata sgda ndo unarud kusalimia
bora hivo maana ukisalimia unakuwa umewasha motoKuna jamaa alinipa mbinu, kwamba unarudi na ukifika husalimii wala nini unauliza njia moja kwa moja.
bora hivo maana ukisalimia unakuwa umewasha moto
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haa ha ha.. Ilinikuta Bank kwenye ATM bhana nimefika nikapitiliza kutoa pesa direct bila kumsalimia yule Mlinzi wa pale sasa nikatoa nashangaa pesa hazitoki kumbe ile mashine inazingua...nikaenda nyingne nayo hivyo hivyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa akasema muwe mnasalimia mkifika hapa sisi sio magogo..
Sijui kwa niniWatanzania tunapenda sana kusalimiana
[emoji23][emoji23][emoji23] na wewe ulizidi, unampita mtu aliyekaa hapohapoHaa ha ha.. Ilinikuta Bank kwenye ATM bhana nimefika nikapitiliza kutoa pesa direct bila kumsalimia yule Mlinzi wa pale sasa nikatoa nashangaa pesa hazitoki kumbe ile mashine inazingua...nikaenda nyingne nayo hivyo hivyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamaa akasema muwe mnasalimia mkifika hapa sisi sio magogo..
Hadi leo nikifika ATM mashine lazima nimsalimie yule mlinzi aisee . [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui kwa nini