MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
- Thread starter
- #41
Kula maboga bwana ns uji
shkamoo miss rihanna
Kula maboga bwana ns uji
Mtoa mada acha kutudanganya wazoefu, hayo maharage ya 200/= na chai na maandazi ya 100/= hayapo siku hizi. Unatudanganya hadi maeneo tuliyobobea? Mwaka wa 20 huu nakula kwa mama ntilie mwenzako
nimepata hamu ya maboga na viazi vitamu vya kuchemsha........
nitavipata wapi hapa mjini?
upo maeneo gan
Duh! JF bana never test befofe kwa kweli! Kama una stress zako joo huku utarudi home ukiwa fresh kabisa.mods peleka hii kitu jukwaa la watoto
MREMBO : khaa! Unikome, mimi huwanatumia vitu kama Burger,Kuku, sausages,Pizza, Egg Chops na Chipsi Mayai, yaani Uzuri Wangu woote unilishe kwa Mama ntilie? KOMA!,
bahati yako alikubania nafasi ungemtongoza mtoto wa shangazi
Halafu cha ajabu hivyo vyakula wanavyoviona matawi ni maradhi matupu.
Na mwisho wa mchezo baada ya kula muda ukipita kiasi - wote tunaenda kuviacha chooni kuonyesha kuwa havina thamani
wadada wa kibongo kwa kujishongondoa utatuweza basiiii
Majina yake kwa kifupi muiteni "Kipa Dindoyo"
Kwa Malapa, Bonyokwa!nimepata hamu ya maboga na viazi vitamu vya kuchemsha........ nitavipata wapi hapa mjini?
Mhh! Jamaa kapitiliza kwa uongo. Kama ni kweli alikuwa anaenda kwa shangazi asubuhi, ni kwa nini anywe chai njiani? Si angeenda kunywa huko kwa shangazi? Halafu Namanga hakuna mama ntilie wala andazi la sh. 100!Mtoa mada acha kutudanganya wazoefu, hayo maharage ya 200/= na chai na maandazi ya 100/= hayapo siku hizi. Unatudanganya hadi maeneo tuliyobobea? Mwaka wa 20 huu nakula kwa mama ntilie mwenzako