MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
- Thread starter
- #21
Da!ilishawahi kunitokea hayo.
wapi hyo mkuu
Da!ilishawahi kunitokea hayo.
this article is too used here Jamii Forum!!
Una bahati,ungekutana nae bar,angetaka henken,
Kiingereza gani hichi. Jivunie lugha yako adhimu ya kiswahili.
mods peleka hii kitu jukwaa la watoto
Tuambie, unasema haya kwa mamlaka ya nani?
sasa kumchimba nduguyo ni fahari humu ndan ?
Hata hapa JF wapo, mdada anajifanya tawi la juu mambo safi kumbe bwoo.
Siku mnakutana unatamani ukimbie, ila kwa vile alishakula vocha zako inabidi umtafune kwa kufumba macho.
Hata hapa JF wapo, mdada anajifanya tawi la juu mambo safi kumbe bwoo.
Siku mnakutana unatamani ukimbie, ila kwa vile alishakula vocha zako inabidi umtafune kwa kufumba macho.
Mods mwongozo tafadhali, lifunguliwe jukwaa la watoto...kwa ajili ya watoto kama mtoa mada
Bora alikupa za uso maana angekuchekea ukamtemea madini sijui mngetazamana vipi hapo kwa shangazi yako.