Mkuu hiyo ni kweli au ni graphics tu, na kama ni kweli ilitokea nchi gani? inatisha sana aiseee.
Hapo nimekupata mkuu, nilishtuka sana kumbe duka la mwanga.Picha Duka!!...............
Nimekukubali mkuu MWENZETU...........................Wilbert1974................nina BLUETOOTH pia, WIRELESS na hata SHEMEJI achilia mbali hiyo WIFI...............................,
Aliyeona kibao hicho kati ya mm na ww ni nani?
Akilio imechoka sasa kalale kesho ipitie upya ukiwa fresh; utaisoma tu!mbona sijakuelewa?
sasa nimekuelewa! yaani inafurahisha ila ndio ukweli...Akilio imechoka sasa kalale kesho ipitie upya ukiwa fresh; utaisoma tu!