St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
Vipi kama unakata gogo horofa ya juu kabisa?
Mkuu hiyo ni kweli au ni graphics tu, na kama ni kweli ilitokea nchi gani? inatisha sana aiseee.
Pumba tupu........
umeelewa kweli au umekurupuka tu?
Hiyo wai fai internet? asiyeelewa labda padri wako SlaaHaja elewa lakini hata na wewe vitu kama hivi sehemu yake ni Facebook...
Haja elewa lakini hata na wewe vitu kama hivi sehemu yake ni Facebook...
Pumba tupu........
Haja elewa lakini hata na wewe vitu kama hivi sehemu yake ni Facebook...
Ndege wa 3 wanamsema mwenzi wao anayo Wifi yake wakati mbona ndege huyo mmoja hana wifi yake?