Hii imekaaje waungwana?

Hii imekaaje waungwana?

Jee utaniambia wanaume wengi ni wachafu kwa sababu hawafanyi hivyo?

Sasa hilo ni la kuuliza? Kama unavaa boxer siku 3 nyie ni wasafi? Nguo za ndani hata kama ni msafi kama nini ikishavaliwa huwa ina harufu ya kaugwadu fulani sasa urundike uiache mpaka siku ya kufua hiyo room yako itanuka balaa.
 
Haya basi wenyewe wamekuja na uchunguzi wk ila msamehe pengine avai boxer ila kipensi cha jinsi hakichafuki
Sasa hilo ni la kuuliza? Kama unavaa boxer siku 3 nyie ni wasafi? Nguo za ndani hata kama ni msafi kama nini ikishavaliwa huwa ina harufu ya kaugwadu fulani sasa urundike uiache mpaka siku ya kufua hiyo room yako itanuka balaa.
 
Umesema kweli mana siku mkiamua kufua duuuuuuh utafkr dobi
ni usafi mkuu sehemu za mwanamke zi wazi na kunawakati kunatoka something na ikikaa sana inaweza leta harufu chumbani au sehemu ulipo weka,... kama mwanamke anatumia pant liner anaweza weka kwa mda fulani..... kingine mkuu ni usafi tuna machupi mengi ila sasakusema ukusanye unavaa asubuhi nyingine na wale usiku kwa wale wanaolala na pichu asante bye
 
Sasa hilo ni la kuuliza? Kama unavaa boxer siku 3 nyie ni wasafi? Nguo za ndani hata kama ni msafi kama nini ikishavaliwa huwa ina harufu ya kaugwadu fulani sasa urundike uiache mpaka siku ya kufua hiyo room yako itanuka balaa.

hahahahaaa!
nimecheka sana everlenk, but kiukweli maumbile yetu yanatofautiana sana na yakwenu, kuna me wanagonga boxer hata siku tano without kaharufu unless me huyo awe na fungus! mwenyewe staki shobo nagonga tu kaboxer kangu kwa siku mbili ile baridi barafu. lol!
 
Loh! Embu oa uwe unabadilisha kila siku.....
 
Kuna watu mna uwezo mdogo sana wa kufikiri...
 
Niaje?

Wadau kuuluza sio ujinga.

Nimefanya utafiti kwa miaka mingi sana na kugundua wanawake wengi huwa wanafua nguo zao za ndani pindi tu wanamalizapo kuoga na kuzianika hii iwe ameoga mtoni,ziwani,bafuni au chooni.

Swali langu:Je hufanya hivyo kama ni nia ya kutunza usafi au kauka nikuvae??

Inawezekana na wewe umeshuhudia,kama bado angalia wanawake wa jirani nawe,mimi nimeshuhudia haya kwenye nyumba za kupanga.

Nawasilisha.

1-Heri kujikwa kidole kuliko.
2-Jino la pembe si dawa ya pengo.

:gossip::gossip::behindsofa:
 
Inaonekana ukionaga hiyo mi***ch***p huwa unapoteza network kwa chaboling. Ila ukweli wanawake wengi huwa wanafua chupi aliyovaa wakati anaoga anaogopa isinuke assume mke wako katoka job kavua chupi aliyoshinda nayo masaa 12 akaenda kuoga bila kuifua then wewe ukaichukua kuinusa kujua usafi wa mkeo si utakuwa unatafuta mafua ya ndege!!
 
Back
Top Bottom