Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Niaje?
Wadau kuuliza sio ujinga.
Nimefanya utafiti kwa miaka mingi sana na kugundua wanawake wengi huwa wanafua nguo zao za ndani pindi tu wamalizapo kuoga na kuzianika hii iwe ameoga mtoni, ziwani, bafuni au chooni.
Swali langu:Je hufanya hivyo kama ni nia ya kutunza usafi au kauka nikuvae?
Inawezekana na wewe umeshuhudia,kama bado angalia wanawake wa jirani nawe, mimi nimeshuhudia haya kwenye nyumba za kupanga.
Nawasilisha.