Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,163
ni kweli mwanamke akiambiwa yuko kama mwanamme anafurahi sababu inaonesga komitiment kwenye responsibilities, decision making, determination na fokas katika maisha.
mwanamme akiambiwa uko kama mwanamke anachukuliwa ana tabia za kupenda kulelewa au awe baba wa nyumbani, umbea mbea mtaani. Na mengine yasiyo ya tija.
mwanamke kuhusishwa na sifa mbiovumbovu nilizotaja hapo juu nadhani ilitokana na yeye kukosa nafasi ya kwenda shule ndo maana sasa hivi wanasema ukimwelimisha mwanamke umeelimisha jamii.