Hii imekaaje? Wanawake kutongoza Wanaume

Wakiwatongoza wenyewe shida, mkiwatongoza wakiwakataa nako tabuu.

Kazi ipoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuwa mwangalifu wengi wanaotongoza wanaume wanao
 
Wataalamu wanasema majina yetu yana mambo mengi sana. Nakushauri badili jina MzeeKipusa πŸ˜‚
πŸ˜‚
 
Kifo kinakunyemelea kwa kasi sana chukua tahadhari kubwa.
 
Mimi mwaka huu wamefika wawili kutoa mmoja wa baa maana huyo ni another case.


Mmoja nilimdanganya nina mahusiano akasisitiza nimfanye mchepuko...duh hatari
 
Wakiwatongoza wenyewe shida, mkiwatongoza wakiwakataa nako tabuu.

Kazi ipoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kina sisi hatujuagi kutongoza ila tunatongozwa 🀣🀣
 
Una christmas ngapi mjini? Mbona hayo mambo ya kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…