Hii imekaaje? Wanawake kutongoza Wanaume

Mawazo mazuri sana.
 
Sasa tatizo liko wapi?
Tangu zamani ilikuwa hivyo; Zamani msichana akikupenda atakuwa anakufanyia vituko vituko na kujipitisha pitisha ili umuone, kwa hiyo sio jambo jipya
Tofauti yake tu ni kuwa kwa sasa mwanamke anaweza kuongea au kutuma meseji
 
Me mwenyewe hi hali imenikuta Sana since January bahati nzurii na me sio mzinzi na hali yangu ya kiroho namshukuru MUNGU ni nzurii kwaiyo Huwa nawakunyia t ila ukiwakunyiaa wanakuchukiaa sanaaaaaaaaaa [emoji3][emoji119]
Safi sana
 
Hivi kuwa Mwanaume rijali, ni pamoja na kutembea na Mwanamke yeyote atakayejipendekeza kwako? Ndio uanaume Halisi huo?
Kwa sasa wanawake ni wengi sana vs wanaume rijali, na hawa wanaume rijali si wote wana kipato; na mwanamke anataka mwanaume rijali na mwenye kipato.
Na wanaume wenye sifa ya (rijali + kipato) wako wachache sana; wengi hawawezi kuwa na vyote.​
 
Sasa tatizo liko wapi?
Tangu zamani ilikuwa hivyo; Zamani msichana akikupenda atakuwa anakufanyia vituko vituko na kujipitisha pitisha ili umuone, kwa hiyo sio jambo jipya
Tofauti yake tu ni kuwa kwa sasa mwanamke anaweza kuongea au kutuma meseji
Advanced Temptation #HatariSana
 
Kwanini bahati kama hizi mimi sizipati?
Usikiite kitu ambacho kinaweza kuamsha PRIDE , LUST of the eyes, & Lust of the flesh kama bahati.

Jifunze sana kukeep your sexual energy for the betterment of your future.

Abstain / refrain / Avoid sex at all cost!!

Note; The more unavyoikeep hiyo sexual energy ndio the more unakua attractive. Tafadhali Jitunze Ndugu yangu! King Kong III !
 
Unafikiri kwanini alikuwa aqkupiga sound wewe na si mwingine
 
Du 2019 ndio umekuwa mkubwa ndio ulibalehe sio
 
Kwa upande wangu mimi hiyo hali ni ya kawaida kabisa,make sijawahi ku experience mambo ya kutongoza always huwa ninatongozwa na sijui kama nitakuja kujua kutongoza kwa maana imeshakuwa kama ulemavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…