Sasa kukaa kwa shemeji kuna tatizo gani ikiwa ugali wa kutosha upo?😄🤣🤣🤣 watu mnamdharau humu, usikute hata wewe unaeandika hapa unakaa kwa shemeji yako🤣🤣🤣
Kukaa kwa shemeji na muonekano ni tofauti mkuu…treat yourself better.🤣🤣🤣 watu mnamdharau humu, usikute hata wewe unaeandika hapa unakaa kwa shemeji yako🤣🤣🤣
Wewe unaishi kwako na njaa wakati kwa shemeji nakula na kusazaUnaona sasa ulivyo wa hovyo, unawezaje kamwambia mtu anaishi kwake ana njaa huo ujasiri unautoa wapi? 🤣🤣🍹🍹