Hii imekaaje wakuu?

Hii imekaaje wakuu?

MDAU JR

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
452
Reaction score
82
Nimeikuta mahala fulani hii, naomba comments wakuu. WARDS.jpg
 
Ina maana waanaume wajawazito watakuwa wanajifugua hapo.
Tumesha anza kutekeleza waingereza wanacho taka ili tusinyimwe
Mikopo.
 
Nimeikuta mahala fulani hii, naomba comments wakuu.View attachment 40460

Mbona iko open ila yataka utazame fresh... Hapo ina maanisha kuna huduma tatu
1. WODI YA WAZAZI
2. WODI YA UPASUAJI
3.WODI YA WANAUME
so simlply wameintergrate na kuwa wodi ya wazazi, upasuaji na wanaume...
 
Concern yangu hapa haiko kwamba ubao unaelezea nini, hapana mkuu hapo nilielewa uzuri BUT imekuwaje basi wodi ya wazazi (ambayo obviously ni ya wanawake) iwe jirani kabisa na ya wanaume?!
 
Concern yangu hapa haiko kwamba ubao unaelezea nini, hapana mkuu hapo nilielewa uzuri BUT imekuwaje basi wodi ya wazazi (ambayo obviously ni ya wanawake) iwe jirani kabisa na ya wanaume?!

siyo lazima ziwe jirani, huo mshale unaelekeza tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom