Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,845
Sometimes nat always[emoji23]
Sometimes nat always[emoji23]
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] Mmmh I can smell thatSometimes nat always[emoji23]
Ah yule kaanzisha dought yeye na sisi tukamalizia
Ungekua kwenye position yake you would do the same... But ya kwetu iko differentAh yuke kaanzisha dought yeye na sisi tukamalizia
[emoji23] no homoUngekua kwenye position yake you would do the same... But ya kwetu iko different
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] no homo
Yeya ni jinsia gani,tuanzie hapoHabari za muda humu,I hope mko poa sana.Ebana kuna kitu nataka ni share nanyi humu ndani,je unaweza kumuomba mtu urafiki?.Story ipo hivi kuna jamaa nilisoma nae chuo tulikuwa japo course tofauti hatukuwa tunafahamiana sana by that time just ni mtu nilikuwa na muona tu kama chuomates wangine sasa tulivyomaliza chuo kama wiki kadhaa hivi nikaonana nae mahali nikamsalimia because sura haikuwa ngeni sana tukapiga story mbili tatu za chuo basi na akaniuliza jina langu nikamwambia naitwa John,baada ya pale sikuonana nae kitambo tu kama mwezi hivi as chuo tulikuwa tushaondika siku moja text ikaingia whatsapp akajitambulisha mimi flani nikamwambia tuma picha nikuone akatuma nikamkumbuka nikasave namba yake sasa baada ya hapo akawa anacheki status zangu na mie pia hivyo as kama washikaji sasa siku moja katika kuchati akasema anapenda niwe rafiki yake hiyo kauli sikuielewa maana siyo jambo la kawaida mtu kukuomba urafiki as urafiki unakuja tu automatically so hii inakuaje wadau?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama ni mtu wa chadema piga chiniHabari za muda humu,I hope mko poa sana.Ebana kuna kitu nataka ni share nanyi humu ndani,je unaweza kumuomba mtu urafiki?.Story ipo hivi kuna jamaa nilisoma nae chuo tulikuwa japo course tofauti hatukuwa tunafahamiana sana by that time just ni mtu nilikuwa na muona tu kama chuomates wangine sasa tulivyomaliza chuo kama wiki kadhaa hivi nikaonana nae mahali nikamsalimia because sura haikuwa ngeni sana tukapiga story mbili tatu za chuo basi na akaniuliza jina langu nikamwambia naitwa John,baada ya pale sikuonana nae kitambo tu kama mwezi hivi as chuo tulikuwa tushaondika siku moja text ikaingia whatsapp akajitambulisha mimi flani nikamwambia tuma picha nikuone akatuma nikamkumbuka nikasave namba yake sasa baada ya hapo akawa anacheki status zangu na mie pia hivyo as kama washikaji sasa siku moja katika kuchati akasema anapenda niwe rafiki yake hiyo kauli sikuielewa maana siyo jambo la kawaida mtu kukuomba urafiki as urafiki unakuja tu automatically so hii inakuaje wadau?
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama ni mtu wa chadema piga chini
Mawazo ya ushoga yanakusumbua....umewaza mbali sana siajabu umeshamhukumu mtu pasipo sababu ya msingi.
Sent using Jamii Forums mobile app