Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,369
- 30,011
Wanaume huwa hatuna hulka ya kuombana urafik, Kuna some stafz na michongo ikiwa inafanana by default mnakua washkajHapa ss choice yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume huwa hatuna hulka ya kuombana urafik, Kuna some stafz na michongo ikiwa inafanana by default mnakua washkajHapa ss choice yake
Wadau kwa nnavyoelewa mimi ni rahisi kwa jinsia tofauti kuombana urafiki kama unahitaji atention ya mtu. *Kwa jinsia tofauti nakazia*
Kawaida wanaume hatunaga issue za kuombana urafiki.Ni kuchati tuu mpaka mnajikuta marafiki sasa ikitokea mwanaume anakuomba urafiki mwanaume hiyo ni sawa na mwanaume kukwambia "nimemiss kukaa karibu na wew" "Mambo(bora hata aseme mambo vip" "akuite myn".....
Muulize anaishi wapi tusije tukahoji sana kumbe anatokea buza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787](just kidding)
Em tuambie huwa unaenda gym?
Una six pack au uchebe na pala?
Pengine tunaweza pata jibu man
Ngoja nikavute tena nakuja[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Kama ni hvyo inabidi akataeWanaume huwa hatuna hulka ya kuombana urafik, Kuna some stafz na michongo ikiwa inafanana by default mnakua washkaj
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayar mshkaj hayuko comfortable na namna ya urafik unavyotaka kuanza so simply amuignore taratbu tuKama ni hvyo inabidi akatae
co fm ushauri ni kama huu ni brain yako kuchekecha sasaTayar mshkaj hayuko comfortable na namna ya urafik unavyotaka kuanza so simply amuignore taratbu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]co fm ushauri ni kama huu ni brain yako kuchekecha sasa
Ha ha ha ha Goddess naona umeamua kunipa tuhuma, Doubts zilianzia kwako ujueYes
according to Bonny
Goddess! Naomba uwe rafiki yangu [emoji4]Mbna naona kama fikra zako zmeenda sawa na zangu zilipoenda?!
Sema mkubalie kama unahitaji awe friend wako the rest atakuambia yeye kama yapo
Karibu
Hahahaha ila nmeamua kukuuzia kesiHa ha ha ha Goddess naona umeamua kunipa tuhuma, Doubts zilianzia kwako ujue
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushaupata karibu