Acha kunirusha roho mtt wwNi sumbai
Hapo mzee unazidi kumuuuaMkuu hiyo hali ikitokea tena fanya hivi chukua sabun ingia bafun fanya yako then sepa na mchezo utakuwa umeishia hapo
BOY FROM LONDON
Cute b......unautani aiseeHahahahaha nimetamani ungekuwa Mume wangu.
Akuuu ungenirahisishia kazi ya kukulinda
Lazima Kuna x wako alikuendea kwa mganga akabadili game liwe vice versa,



Yaani stress zinakupa genye!! Hongera sana.
Amka kijana acha kuifanya Akili yako ifikilie upuuzi mda wote, mda unakwenda huo amka kijana.
Mimi nikiwa sina hela ndiyo ninakula na cravings za nyama Choma, supu ya ulimi, mtori, KFC, Subway. Nikita na laki kwenye walet hata Dina maharage na maji ya uhai poa vinashuka
Hahahahaha nimetamani ungekuwa Mume wangu.
Akuuu ungenirahisishia kazi ya kukulinda
Imekaa fresh.
Wenzio vichenji tu vinawapa hamu sasa pata picha wanavyomaliza mshahara kwa mambo ya kipuuzi.
Sasa ukiwa umekaa ndani weka mipango sawa, andika business plan flani amazing na ifanyie kazi uanze kimradi chochote.
Good luck.
Ndukiiiiiiii![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Khaaaa....!
LolNakupenda Karuchi mimi..
AiseeMwaaaaaah 😱😛😱😛