Kuna watu pia kwa makusudi wanapenda kuplay games na hisia za wapenzi wao!!sijui ni kwa vile inawapa excitement au inaleta burudani fulani katika akili zao!!Unaweza ukakuta mpo vizuri tu akaanza kuact kama anapunguza mapenzi au anataka kukuacha kabisa,ni kama anakupa kihoro aua anakutest!Basi na wewe kwa kuogopa kuachwa coz kuachwa kunauma isitoshe ukiwa unampenda mtu ni uchungu zaidi,utajikuta unatunia nguvu,ushawishi na mahaba mazito umrudishe chini ya himaya!!Unfortunately akirudi unafeel safe na unaona ni wakati muafaka wa wewe kumtingisha yeye au ikiwezekana kumwacha kabisa,sasa sijui kama ni mapenzi,kisasi au kamchezo!Ikitokea umekosea sasa,umetikisa kiberiti afu yeye akaitika mazima ndo utalia na Mola!!Ila all in all kuna watu wepesi sana kukinai wenzao...na wanapenda attention na kupendwa sana ukipunguza tuu,Anaona humpendi.
Jamani nakuoneaje hurumaaa, kwanini
Unaendelea naye wakati ana mtu, mbona unajirahisisha sana tena sanaaa, huna thamani jamani weee dada acha ujinga huo..achana naye jiweke busy tena una ela toka out kila siku, nenda movie, nenda baa za kistaarabu kula msosi kunywa ukifika home umejichokea unaoga unalala, job ukimuona usimshobokeee hata chembe muone wa kawaida sana salam tuu full stop stor stor usiruhusu. ..cm usipokee message usimjibu dadex kuwa kauzu. .soon utarecover ...umri bado sana mwanamke mbichi kabisa wewe. ..alafu utakayempata usimshobokee sana
.kwani unamuomba hela kuwa na msimamo jiweke vizur vizur utavutia mpaka vizeee we jishaue na vimawazo utakonda na kukongorokakama jini
Pole sana my dear, I know how you feel but nakusihi Usimpe tena nafasi huyo mtu kwani we ni kiburudisho tu kwake, tambua kuwa hana mapenzi kabisa na wewe....
Chakufanya Kuanzia sasa kuwa bize na Mambo yako, acha mazoea nae (iwe ni salamu tu na kazi wala usiwepo ukaribu mwingine wowote) jitahidi kufanya vitu vile unavyovipenda sana na kuepuka vile mlivyokuwa mkivifanya mkiwa pamoja, hii itakusaidia kusahau kwa haraka... jitahidi kukumbuka mabaya aliyowahi kukutendea na kusahau mazur yake, epuka kukaa pekeako kwa mda mrefu..
Wewe ni binti mdogo sana my dia amini utampata atakayeiona thamani yako, but usijiingize katika mahusiano kwa sasa
Pole sana dada, madhara ya kuwa na mahusiano workmate ni haya. Pole tena sijui hata nikwambieje?
umegusa kumtima hakiyanani!Kuna watu pia kwa makusudi wanapenda kuplay games na hisia za wapenzi wao!!sijui ni kwa vile inawapa excitement au inaleta burudani fulani katika akili zao!!Unaweza ukakuta mpo vizuri tu akaanza kuact kama anapunguza mapenzi au anataka kukuacha kabisa,ni kama anakupa kihoro aua anakutest!Basi na wewe kwa kuogopa kuachwa coz kuachwa kunauma isitoshe ukiwa unampenda mtu ni uchungu zaidi,utajikuta unatunia nguvu,ushawishi na mahaba mazito umrudishe chini ya himaya!!Unfortunately akirudi unafeel safe na unaona ni wakati muafaka wa wewe kumtingisha yeye au ikiwezekana kumwacha kabisa,sasa sijui kama ni mapenzi,kisasi au kamchezo!Ikitokea umekosea sasa,umetikisa kiberiti afu yeye akaitika mazima ndo utalia na Mola!!Ila all in all kuna watu wepesi sana kukinai wenzao...na wanapenda attention na kupendwa sana ukipunguza tuu,Anaona humpendi.