Hii imekaaje siyo udhalilishaji?

Hii imekaaje siyo udhalilishaji?

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
16,654
Reaction score
18,805
14470541_10155388950493009_2886933722720562154_n.jpg
 


Duh, nadhani hapa ni India au sijui Bangladesh au wapi sijui ila ingekuwa ni Ugiriki ya Enzi hizo yaani miaka ya BC sanamu hiyo ingekuwa ni mmoja wa miungu wa wagiriki....
 
Ngoja adindishe ndio utajua ni sanamu au Pope Kurdish
 
Duh, nadhani hapa ni India au sijui Bangladesh au wapi sijui ila ingekuwa ni Ugiriki ya Enzi hizo yaani miaka ya BC sanamu hiyo ingekuwa ni mmoja wa miungu wa wagiriki....
Hapo ni India

Buddhism
 
Anaedhalilisha ni aliepiga picha au huyo dada alienyanyua mkono juu,maana naona huyo bi dada yuko mbali sana na hilo sanamu sidhani hata kama anajua nyuma yake kuna sanamu.
 
mbona huyo dada yupo mbali sana na sanamu au macho yangu hayaoni vizuri
 
Lingekuwa sanam la mwanamke, hapo lugha ya uzalilishaji ingekuwa na mashiko
 
Duh, nadhani hapa ni India au sijui Bangladesh au wapi sijui ila ingekuwa ni Ugiriki ya Enzi hizo yaani miaka ya BC sanamu hiyo ingekuwa ni mmoja wa miungu wa wagiriki....
Hao ni Miungu ya jamii flani huko India
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom