Hii imekaaje siyo udhalilishaji?

Hii imekaaje siyo udhalilishaji?

Sipati picha kelele zake kama lingekuwa Sanamu la kike.
 
wahindi wanamiungu mingi sana.....may be anasali
hao watu akili zikoje sijui
 
Hao ni Miungu ya jamii flani huko India

Miungu>>>>>>>>>>>>>>>>miungu (daima 'miungu' au 'gods' ni herufi ndogo......ni Mungu tu au God ndiyo herufi kubwa....
 
1475757432987.jpg
1475757440504.jpg
1475757445578.jpg
1475757461506.jpg
 
Unanishusha cheo, mimi ni Pastor of Passion, Vicar of Victory, Minister of Majesty, Deacon of Decadence, Archbishop of Anarchy, His Holiness Pope Kiranga.
Hahahaaa,...Mkuu hizo title ni mwisho wa reli....ebu nipatie cheo nami niungane na wewe tumtumikie Bwana na kuhubiri habari njema za wokovu!
 
Hahahaaa,...Mkuu hizo title ni mwisho wa reli....ebu nipatie cheo nami niungane na wewe tumtumikie Bwana na kuhubiri habari njema za wokovu!
Na mie niongezeni kwenye huko kuhubiri habari njema za wokovu... Ila kama kutakuwa na sadaka.. ! Maana hakuna kitu cha bure.. !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom