Hii imekaaje? ni facebook au hipsbook?

raffiki

Senior Member
Jun 4, 2011
160
44
Jamani mie kuna kitu sifurahishwi nacho sijui wenzangu mnakionaje?kitu hicho ni kwamba facebook ni tandao wa kijamii na mawasiliano na kunganisha watu, lakini kuna baadhi ya waru wamegeuza sehemu za kuonesha maumbile yao ya hips na mengineyo.hawa tuwachukulie vipi?mwenye busara ufikiri kabla ya kutenda.
 
Lile ni Danguro mdogo wangu!
 
Kuna tofauti kati ya Jf na fb. Fb kwenye id & pcs is more transparent compare to Jf.
 
Kule kumejaa uzinzi tu, mi niliwahi kusema hapa watu wakanisakama sana kwamba wanatangaza biashara zao ohh mimi ndio sijui matumizi ya kule lakini nina watu karibu 20 ambao wanalia na FB ama wamechukuliwa mademu zao ama mabwana zao thru fb...nina vijana pia nawafahamu wameshalala na mabinti tofauti tofauti zaidi ya 20 kutoka humo humo fb...kule hakufai ni ushenzini..
 
Yaani taabu tupu, nakubaliana na wachangiaji kweli hili linageuzwa soko huria la danguro....sijui wanaona wakuonesha maumbile yao ndio uzuri???mie nawashangaa hata wanaume na wanawake wanaochukua wapenzi wa deisgn hiyo humo hivi msichana mrembo na mzuri ni hadi aanike maumbile yake ndio apate mwanaume mi nafikiri huyo ndio sio mrembo na hana mvuto anapoishi, kusoma au afanyapo kazi .....nafikiri tusichoke kuwasema
 
ngoja nipaste maelezo ya raffiki kwny wall kule fb nadhan wanaweza kukoma
 
hivi hii mada kwa nini msingeipeleka huko huko fb naona ni ujinga kuiongelea hapa
Sababu kila swali linaweza kuongelewa hapa hapa. Naona hii topic iko soooo interesting kwa maana ya kwamba Facebook iko "person oriented". unakua rafiki wa mtu kutokana na umbo lake, marafiki zake, satatus yake, activities na interest zake etc. Hapa JF unakua rafiki wa mtu kufatana na michango yake na sometimes avatar yake (Waulize the Boss na The Finest...). Interesting...
 
Jamani mie kuna kitu sifurahishwi nacho sijui wenzangu mnakionaje?kitu hicho ni kwamba facebook ni tandao wa kijamii na mawasiliano na kunganisha watu, lakini kuna baadhi ya waru wamegeuza sehemu za kuonesha maumbile yao ya hips na mengineyo.hawa tuwachukulie vipi?mwenye busara ufikiri kabla ya kutenda.

Login...www.facebook.com..please wait...loading....
 
mhhh naona hao marafiki zako ndio wanaoweka hips, kuna wengine fb imetukutanisha na marafiki wa chekechea, ni namna ya mtu anavoamua kuitumia mwenyewe
 
Jamani mie kuna kitu sifurahishwi nacho sijui wenzangu mnakionaje?kitu hicho ni kwamba facebook ni tandao wa kijamii na mawasiliano na kunganisha watu, lakini kuna baadhi ya waru wamegeuza sehemu za kuonesha maumbile yao ya hips na mengineyo.hawa tuwachukulie vipi?mwenye busara ufikiri kabla ya kutenda.

ati unasemaje? Wenye akili timamu hawako huko. Li mtandao gani halina privacy na kila ufunguapo unakuta watu wanadate tu. Nothing to learn in that thing. Polee kwa kuwa very concerned mkuu. Mle wamejaa watoto wa primary and sec school ndo maana unaona hayo mambo.
 
Sidhani kama FB ilianzishwa kwa maana mbaya. Ila tu inaonekana mbaya kutokana na jinsi watu wanavyoitumia. Watu wanapaswa kutambua kuwa FB,Twitter,My space,n.k yote hiyo ni mitandao ya kijamii. Na watu wapo huru kuitumia au kutoitumia.
Unapoona watu wanatumia FB kuonyesha maumbile yao au kufanya yale yanayokuchukiza hilo ni juu yao.
Kumbuka FB inatumika na makampuni mbalimbali na hata Taasisi mbalimbali duniani kwa ajili ya matangazo na mawasiliano na wateja wao.
Kumbuka kuwa Rangi nyeupe kwa watu wengine inamaanisha harusi na kwa wengine ina maanisha msiba.
 
Jamani mie kuna kitu sifurahishwi nacho sijui wenzangu mnakionaje?kitu hicho ni kwamba facebook ni tandao wa kijamii na mawasiliano na kunganisha watu, lakini kuna baadhi ya waru wamegeuza sehemu za kuonesha maumbile yao ya hips na mengineyo.hawa tuwachukulie vipi?mwenye busara ufikiri kabla ya kutenda.

Nenda fb, aliyeweka maumbile yake ya hips na mengineyo mu'inbox' mpe elimu, haelimiki muondoe kwenye list ya marafiki zako. Fb kwangu iko poa kwa sab ya misingi nliyojiwekea kulinda heshima yangu.
 
hivi hii mada kwa nini msingeipeleka huko huko fb naona ni ujinga kuiongelea hapa

wewe ukipost habari zako sijui unampenda nani..au girlfriend wako sijui kafanyaje...ooohh unategwa na housegirl wako..hua inamaana gani kuleta hapa si ungewambia wenyewe au kupeleka kwenye familia zenu?sasa issue ya fb hapa ni ili watu wajadili unaweza kusupport wanaofanya hivyo au kushauri wajirekebishe kwa hoja,sio kuseme ipelekwe kule kwani kule kuna discussion kama JF bila kua marafiki..wee vp??kama hauna la kuchangia post soma upotezee
 
Back
Top Bottom