Hii imekaaje? ni facebook au hipsbook?

Kule kumejaa uzinzi tu, mi niliwahi kusema hapa watu wakanisakama sana kwamba wanatangaza biashara zao ohh mimi ndio sijui matumizi ya kule lakini nina watu karibu 20 ambao wanalia na FB ama wamechukuliwa mademu zao ama mabwana zao thru fb...nina vijana pia nawafahamu wameshalala na mabinti tofauti tofauti zaidi ya 20 kutoka humo humo fb...kule hakufai ni ushenzini..
uzinzi upo kila mahali mpendwa na sio facebook tuu, kama mtu anatabia chafu ni yake na hata huku jf mbona wapo wanaogongana tuu!!! kuna wengine hawako jf wala facebook wala haujui internet lkn wanaitembeza kama nini!!!
 
Back
Top Bottom