Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Sioni shida ikiwa wanatunza watoto wao bila kumbugudhi mtu. Maisha yao, maamuzi yao.
Wanawake wazuri wazuri wameolewa wamebaki madunga embe yanahangaika, enzi hizo saiv ni kinyume chake, wanaume wameshtuka mara nyingi hao wazuri waliotukuka hawanaga adabu ndoani
Nafahamu hilo ndio maana nimenyutiAngalia wasikuwekee kamati maana n jeshi kubwa hunter