Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,113
- 34,953
Umeona kikuku mguuni mwa huyo mwenye kijani?
Hahahha manake anatoa mambo flan si ndio?
Huyo wa kijani anamaanisha mwanamke wa Kitanga na huyo Mnyama anamaanisha mwanaume wa shoka ametoka kuogeshwa baada ya kumpa mama mabao matano huku mama akiwa hajapiga bao hata moja.