Makocha waliofundisha Simba na yanga

Makocha waliofundisha Simba na yanga

dodoma king

Member
Joined
Nov 6, 2026
Posts
6
Reaction score
0
Ni Mara chache Sana makocha kufundisha simba na yanga kwa nyakati tofauti Hawa ndiyo waliofanya hivyo

1. FADLU DAVIDS - Pekee wa kisasa
  • SIMBA SC: Julai 5, 2024 - Rasmi alitangazwa na Mo Dewji. Aliongoza mechi 14, akafikisha fainali ya CAF Confederation Cup
  • YANGA SC: Nov 7, 2026 (LEO) - Rasmi Yanga wamemtangaza "Karibu Young Africans SC, Fadlu Davids" kuchukua nafasi ya Manqoba Mngqithi


  • SAID MZIRAY
  • Alikuwa kocha M-Tanzania, maarufu sana miaka ya 2000
  • 2008: Alikuwa Assistant Coach wa Simba SC chini ya kocha mkuu Krasimir Bezinski (Mbulgaria) - kipindi Simba ilikuwa inapambana kutoka kwenye matokeo mabaya ya ligi
  • Baadaye alifundisha Young Africans SC (Yanga) pia kama kocha
  • Ndiye mfano unaotolewa na watu kama Haji Manara
 
Ni Mara chache Sana makocha kufundisha simba na yanga kwa nyakati tofauti Hawa ndiyo waliofanya hivyo

1. FADLU DAVIDS - Pekee wa kisasa
  • SIMBA SC: Julai 5, 2024 - Rasmi alitangazwa na Mo Dewji. Aliongoza mechi 14, akafikisha fainali ya CAF Confederation Cup
  • YANGA SC: Nov 7, 2026 (LEO) - Rasmi Yanga wamemtangaza "Karibu Young Africans SC, Fadlu Davids" kuchukua nafasi ya Manqoba Mngqithi

Yeye ndiye wa kwanza katika historia ya karibuni kufundisha zote mbili kwa mkataba rasmi.

2. HANS VAN DER PLUIJM (Mholanzi)
- Huyu ndiye legenda. Aliifundisha Yanga na kubeba ubingwa, na pia alifundisha Simba miaka ya 90s. Katika historia ya Tanzania ndiye anatajwa kama aliyeleta nidhamu ya kisasa.
Kuna aliyewahi kutoka Yanga kwenda kufundisha ma role model wao Simba?
 
Screenshot_20261015-182055.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom