basi sasa
Member
- Jun 9, 2026
- 82
- 110
Nimekutana na Pisi [Mrembo] moja hivi, ni kama mwezi sasa hivi. Basi nikaamua kumwaga zangu verse, demu akakubali na akaniambia kama amenipenda toka muda, lakini hataki mahusiano na mtu yeyote.
Ananiambia pia anapata wivu nikiwa nimechill na madem wengine. Sasa sijui hii imekaaje au ni tapeli? 😁😁😁
Ananiambia pia anapata wivu nikiwa nimechill na madem wengine. Sasa sijui hii imekaaje au ni tapeli? 😁😁😁