Hii ilikuwa siku ngumu kwangu!!

Hii ilikuwa siku ngumu kwangu!!

Mkuu Bushbaby umenichekesha sana kwa taratibu zetu kibongo bongo hawaruhusu kuingia ila ungekuwepo tu unapiga piga misere mlangoni na kumhimiza shemeji kwa kumwambia puuuuuuuuuuuuush wife
 
Last edited by a moderator:
View attachment 57165

Hii siku kweli ilikuwa ngumu sana....nilikuwa nasubiria mke wangu ajifungue, nilichanganyikiwa...hapa ni ofisini sikuwa najua nilichokuwa nafanya...hii picha nilipigwa na wenzangu bila hata kujua!!! Namshukuru Mungu alijifungua salama.....kweli mtoto anayemdharau Mama yake anafanya kosa kubwa sana!!!

Identity revealed!
Nshakujua wewe ni nani.
Ila nakupa hongera nyingine maana nlishakupa hapo mwanzo.
Weweeee!
 
Hongera kwa kupata mtoto kaka. Furaha ya huyo baby ukizubaa mwakani mwezi kama huu unarusha picha nyingine kama hii.

Mkuu lazima afuate nyota ya kijani na hali halisi ya nchi hii !
 
View attachment 57165

Hii siku kweli ilikuwa ngumu sana....nilikuwa nasubiria mke wangu ajifungue, nilichanganyikiwa...hapa ni ofisini sikuwa najua nilichokuwa nafanya...hii picha nilipigwa na wenzangu bila hata kujua!!! Namshukuru Mungu alijifungua salama.....kweli mtoto anayemdharau Mama yake anafanya kosa kubwa sana!!!
mkuu naelewa kitu unachoongea, mi nilimpeleka wife kwenye saa 2 usiku, nikakaa hata 6 wakanifukuza sikuenda hm nikaaa club ya jirani mpaka saa 9 nikaenda hm nikabadili nguo nikarudi hospital, akawa bado hajajifungua nikaa mpaka saa 7 mchana sijala k2 akajifungua saa tisa mchana. ni kipindi kimoja kigumu sana kwa mwanaume mwenye mapenzi na mwenzi wake.
 
Mkuu Akiri bora ya kwako ilichukua muda mfupi....mimi wife alisota...madaktari wakafanya kila lililowezekana ili ajifungue kawaida ikakataa...wakaenda kuandaa Theater ili wamfanyie upasuaji wakarudi wakakuta tayari! maumivu aliyoyapata yamenifanya nimpende na kumheshimu zaidi!!
 
Last edited by a moderator:
na wewe jitahidi usimhangaishe huyo mama
maana wanamme bhana magumashi sana
hongera kwa kababy ni me/ke?
View attachment 57165

Hii siku kweli ilikuwa ngumu sana....nilikuwa nasubiria mke wangu ajifungue, nilichanganyikiwa...hapa ni ofisini sikuwa najua nilichokuwa nafanya...hii picha nilipigwa na wenzangu bila hata kujua!!! Namshukuru Mungu alijifungua salama.....kweli mtoto anayemdharau Mama yake anafanya kosa kubwa sana!!!
 
asikwambie mtu ile process ngumu sana
muheshim sana mwanamke asee

Mkuu Akiri bora ya kwako ilichukua muda mfupi....mimi wife alisota...madaktari wakafanya kila lililowezekana ili ajifungue kawaida ikakataa...wakaenda kuandaa Theater ili wamfanyie upasuaji wakarudi wakakuta tayari! maumivu aliyoyapata yamenifanya nimpende na kumheshimu zaidi!!
 
na wewe jitahidi usimhangaishe huyo mama
maana wanamme bhana magumashi sana
hongera kwa kababy ni me/ke?
flora msoffe ni kweli wanaume ni magumashi.....ila kwa ambaye alikaa na mke wake wakati wa labour Pain mpk kujifungua.....lazima kuna kitu kinakuingia cha kumthamini zaidi!! amenizalia Mama yangu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom