Hii hatari: Watu 3034 nafasi 4, interview ya LAPF

Hii hatari: Watu 3034 nafasi 4, interview ya LAPF

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,054
Reaction score
3,263
Shame on you Graduates..
Kabla ya kuanza kuilamua Nchi , ivi nyie Graduate kwann bado mna mawazo mgando saana ... huu utitiri wote unasababishwa na vichwa vyenu kujiiandaa kuajiriwa kuliko kujiajiri .

Hii hatari , nauona Uzembe wa Wahitimu ndipo baadae nitaailamu serikali
 
Attachments

  • 1436600470410.jpg
    1436600470410.jpg
    72 KB · Views: 1,665
  • 1436600497932.jpg
    1436600497932.jpg
    41.1 KB · Views: 1,489
Aisee hatari,sijilaumu kwa kuto apply isitoshe ingenibidi kusafiri kutoka mkoani,kwa nyomi hilo noma!
 
Noma sana ndio mana nilidharau kuomba hiyo kazi....ni udhalilishaji asee.
 
TANZANIA bado hatuna wasomi kwa maana ya wasomi bali tuna watu waliowahi kukaa shuleni...
 
Wajanja wakati wa kusoma, kwenye kazi kila mtu anakuwa kama mjinga.... hivi kabisa watu wote hao 3000+ na 4 tu ndo wanatakiwa afu we nae waenda
 
Yale yale ya PPF. Ila kuweka picha za watu tena naked face ni kosa kubwa bora ungepiga hata migongo yao! most graduate ni watoto wa masikini sasa huko kujiajiri hata mtaji ataupata wapi bila kuajiriwa kwanza?
 
Huyo mwenye red sandals, kashika pen ni shangazi yangu kabisa na humu JF yumo, akiiona picha ake cjui atajifeel vp.
 
Shame on you Graduates..
Kabla ya kuanza kuilamua Nchi , ivi nyie Graduate kwann bado mna mawazo mgando saana ... huu utitiri wote unasababishwa na vichwa vyenu kujiiandaa kuajiriwa kuliko kujiajiri .

Hii hatari , nauona Uzembe wa Wahitimu ndipo baadae nitaailamu serikali

Ila kiukweli jamaa wamejipanga kinoma alafu watu wengi sana hawaja tokea
 
Pia ni mradi wa kutengeza pesa kwa MaHR wa mashirika hasa ya serikali.kuna walimu wameteuliwa kuendesha mchakato huu wataogawana hela baadae na ma HR.kibaya zaidi utakuta wenye nafasi zao wapo tayari wametulia
 
Mtoa mada ndo una mawazo mgando..kama ingekua kujiajiri tu kuna haja gani ya kusoma sasa? ..mtu anatakiwa kufanyia kazi fani aliyosomea, ujasiriamali ni misemo ya kisiasa tu
Uwezo mdogo wa kufikiri ni kwa Graduate yeyote yule kuendelea kuamini ajira ndio mkombozi wa maisha yake . Hata usome fani gani .. maisha ni kuwaza zaidi ya ajira . Acha mawazo mgando .
 
hizo picha za watu ni uzalilishaji... wanajua kama umewaweka humu!?? kama umepata kazi shukuru acha wengine waenelee kutafuta!!!! unaongelea kujiajiri usidhani graduate wote wapo kwenye level kama zako

Chukua kama changamoto ndugu .. acha kutokwa povu , pilipili ya shamva ya kuwashia nn . Picha haijawekwa in a negative aspect but imereflect hali halisi ya Wananchi especially graduates.
 
Shame on you Graduates..
Kabla ya kuanza kuilamua Nchi , ivi nyie Graduate kwann bado mna mawazo mgando saana ... huu utitiri wote unasababishwa na vichwa vyenu kujiiandaa kuajiriwa kuliko kujiajiri .

Hii hatari , nauona Uzembe wa Wahitimu ndipo baadae nitaailamu serikali

Hata wewe ni mmj wa hao 3034 mkuu usitake kuniambia ulienda hapo kupiga picha tuu so the shame goes to you too
 
Shame on you Graduates..
Kabla ya kuanza kuilamua Nchi , ivi nyie Graduate kwann bado mna mawazo mgando saana ... huu utitiri wote unasababishwa na vichwa vyenu kujiiandaa kuajiriwa kuliko kujiajiri .

Hii hatari , nauona Uzembe wa Wahitimu ndipo baadae nitaailamu serikali

Watu hawajui umuhimu wa kujiajiri, endapo wangejua kujiajiri hasa ukihit the right market kuna kupiga pesa ndefu ukizingatia bongo competition sio kubwa sana kwenye businesses nyingi. Hapo utakuta dili la laki kadhaa na mtu anapewa kaofisi ndo kila mtu anakimbilia
 
Back
Top Bottom