Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,031
Mtoa mada acha akili za mgando pia acha dharau unataka watu watu wote wawe wamachinga
Shame on you Graduates..
Kabla ya kuanza kuilamua Nchi , ivi nyie Graduate kwann bado mna mawazo mgando saana ... huu utitiri wote unasababishwa na vichwa vyenu kujiiandaa kuajiriwa kuliko kujiajiri .
Hii hatari , nauona Uzembe wa Wahitimu ndipo baadae nitaailamu serikali
Huyo mwenye red sandals, kashika pen ni shangazi yangu kabisa na humu JF yumo, akiiona picha ake cjui atajifeel vp.
Sasa si unakuwa hujui hadi ufike? Au huwa wanawaambiwa kwenye barua za kuwaita?Wajanja wakati wa kusoma, kwenye kazi kila mtu anakuwa kama mjinga.... hivi kabisa watu wote hao 3000+ na 4 tu ndo wanatakiwa afu we nae waenda
Shame on you Graduates..
Kabla ya kuanza kuilamua Nchi , ivi nyie Graduate kwann bado mna mawazo mgando saana ... huu utitiri wote unasababishwa na vichwa vyenu kujiiandaa kuajiriwa kuliko kujiajiri .
Hii hatari , nauona Uzembe wa Wahitimu ndipo baadae nitaailamu serikali
Shame on you Graduates..
Kabla ya kuanza kuilamua Nchi , ivi nyie Graduate kwann bado mna mawazo mgando saana ... huu utitiri wote unasababishwa na vichwa vyenu kujiiandaa kuajiriwa kuliko kujiajiri .
Hii hatari , nauona Uzembe wa Wahitimu ndipo baadae nitaailamu serikali
Shame on you Graduates..
Kabla ya kuanza kuilamua Nchi , ivi nyie Graduate kwann bado mna mawazo mgando saana ... huu utitiri wote unasababishwa na vichwa vyenu kujiiandaa kuajiriwa kuliko kujiajiri .
Hii hatari , nauona Uzembe wa Wahitimu ndipo baadae nitaailamu serikali
Mtoa mada ndo una mawazo mgando..kama ingekua kujiajiri tu kuna haja gani ya kusoma sasa? ..mtu anatakiwa kufanyia kazi fani aliyosomea, ujasiriamali ni misemo ya kisiasa tu
tunawaambia vijana njooni kijijini mlime hamtaki mnapenda kuzurura mjini,aibu kwenuu!!!?!?