Kunyonyana denda zaidi ya dakika tano mbele ya wazazi. Mwanamke kumkatia mumewe viuno zaidi ya baikoko (vile viuno vya chumbani) hadharani.
Mwanamke kutafuna keki na kisha kummiminia mmeo mdomoni mbele ya kadamnasi. Kwa kweli imenishangaza sana, wahenga mliosalia hebu ingilieni kati kutolea neno la busara ili kulinda mila na desturi zetu
NB:
Bi harusi kazidiwa hadharani kutokana na michezo ya mahaba ukumbini