Hii hapana........pliz gfsonwin

Hii hapana........pliz gfsonwin

EDIT hii post tafadhali wanaume huwa hatuolewi, mimi sio mwanaume suruali

mbona wewe ndo umenielewa vby? nilimaanisha wadogo kama platozoom wenye wivu na wachungi watanifanya miye dada yao nisiolewe.[/QUOTE]

Hapo umechakachua...post ya kwanza ndio sahihi
 
EDIT hii post tafadhali wanaume huwa hatuolewi, mimi sio mwanaume suruali mbona wewe ndo umenielewa vby? nilimaanisha wadogo kama platozoom wenye wivu na wachungi watanifanya miye dada yao nisiolewe

asavali maana nilikuwa sijakupata hapo. lol kumbe platozoom ana wivu hadi kwa dada yake, anataka uolewe na nani sasa au anataka uwe sista kanisani lakini hajui namna ya kukwambia?
 
Last edited by a moderator:
Haya. Kuna mtu yeyote mwenye hekima za mfungo huu wa Ramadhani anayeweza kunAmbia kinaemdelea gani hapa?

Baby gfsonwin am
Here nambie huyu platozoom kafanyaje!?

Kaizer unakumbuka maneno ya ShYahya (RIP)? Kwenye early 90's enzi za mzee Ruksa alisema Tanzania nzima anafunga peke yake,wabongo walimjia juu lakini yeye aka stick to his guns akisema kufunga sio kubadilisha ratiba ya kula bali kufunga ni ibada yenye taratibu zake na akauliza nani anafuata taratibu zote za ibada hii?
 
sa Bishanga you are trying to tell us that we are not fasting but starving..................wanakuja wenyewe miye simo.
 
Last edited by a moderator:
Kaizer unakumbuka maneno ya ShYahya (RIP)? Kwenye early 90's enzi za mzee Ruksa alisema Tanzania nzima anafunga peke yake,wabongo walimjia juu lakini yeye aka stick to his guns akisema kufunga sio kubadilisha ratiba ya kula bali kufunga ni ibada yenye taratibu zake na akauliza nani anafuata taratibu zote za ibada hii?

Agandi........Hebu fafanua kidogo............
 
Back
Top Bottom