Hii hapana........pliz gfsonwin

Ellen-Johnson-Sirleaf_President-Liberia.jpg

duh! kweli kaka umenichoka ahaya bana au Kaizer kakuweka mlinz?
 
Last edited by a moderator:
platozoom halafu ujue sikuelewi vile kaka yangu wa moyoni. kwanini lakini dada akikutuma humtii? nakusubiria ivoo
 
Last edited by a moderator:
Ulidhani sister anapenda masharobaro...anataka wenye sura ngumu kama Kaizer
siamini yaani ninamkosa gfsonwin kisa sura yangu ni sharobaro, kweli sio fair!! naombeni dawa ya kukaza sura ili niweze kumpata maana vigezo vingine ninavyo.

wadogo kama hawa dada haolewi ng'o!
EDIT hii post tafadhali wanaume huwa hatuolewi, mimi sio mwanaume suruali
 
Last edited by a moderator:
EDIT hii post tafadhali wanaume huwa hatuolewi, mimi sio mwanaume suruali[/QUOTE]

mbona wewe ndo umenielewa vby? nilimaanisha wadogo kama platozoom wenye wivu na wachungi watanifanya miye dada yao nisiolewe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom